1 Samuel 17:17

17 aWakati huo Yese akamwambia mwanawe Daudi, “Chukua hii efa
Efa moja ni sawa na kilo 22.
ya bisi na hii mikate kumi kwa ajili ya ndugu zako uwapelekee upesi kambini mwao.
Copyright information for SwhKC